Ni Familia Yenye Malengo Makuu Yafuatayo:
Kuimarisha Uchumi Wa Pamoja
Kuimarisha Uchumi wa Kila Mmoja
Kuboresha Uwezo Binafsi wa Kimawazo na Kimaamuzi
Mtu yeyote anaweza Kujiunga na FAMILIA hii endapo atakua amekidhi Vigezo,
Kwa WAFANYABIASHARA ambao Wanajiunga na Familia Hii Wanawekwa Chini ya PROGRAM MAALUMU ijulikanayo kwa jina MILIONEA CHALLENGE
Ambapo ndani ya Program hiyo Watapewa HUDUMA nyingi BURE bila malipo yoyote kwa kipindi cha MWAKA MZIMA.
HUDUMA ZA BURE:
Kusetiwa Matangazo unayotaka KUSPONSOR (bajeti ya matangazo nii juu yako)
Kupata Mafunzo Mbalimbali ya Biashara Kutoka kwa Mr akilikubwa
Kusaidiwa Kutengeneza MALENGO na MIKAKATI
kufanyiwa EVALUATION ya biashara yako kila Miezi Mitatu
MENTORSHIP bure Mwaka Mzima Kutoka kwa Mr akilikubwa
Note: Ni Lazima Uwe Umekidhi Vigezo
Lengo letu Kuu ni Kutengeneza Familia Yenye MAFANIKIO kwa kila Mwanafamilia Ndio Maana Huduma Muhimu Zote zinatolewa BURE kwa kila Mwanafamilia.
Baada ya Kukidhi Vigezo Vya kuwa Kwenye Familia hii Utaweza Pia kusajiliwa kwenye JUKWAA MAALUMU la AKILIKUBWA FAMILY (Website) ambapo utapata huduma zifuatazo BURE:
kutengenezewa Account ndani ya Jukwaa hilo
Kufahamu MACHIMBO mbalimbali ya WAUZAJI wa JUMLA
kurekodi MAPATO na MATUMIZI yako kwenye system
kutumia MFUMO WA KIDIGITALI wa kukusadia kurekodi ODA na Kukukumbusha Kufanya FOLLOW-UP kwa wateja walikupa AHADI
Kupata KOZI za VIDEO za MAFUNZO mbalimbali ya kufanya MAUZO
Kutunza KUMBUKUMBU(DATA) za WATEJA wako kwenye SYSTEM
Huyu ni AJUNA KITCHEN STORE, moja ya wafanyabiashara ambao wamenufaika na Program za AKILIKUBWA tangu kutokua na cha kufanya mpaka kumiliki DUKA kubwa DODOMA.
Huyu ni KATU STORE ambaye na yeye alikua mhitimu tu wa Chuo akifikiria cha kufanya Lakini Tangu aunganishwe na dada yake kwenye program za AKILIKUBWA ndani ya Mwaka mmoja alifanikiwa kufungua DUKA Kariakoo akitokea kuwa WINGA.
Dada SARAH ambaye alikua ni MHASIBU, lakini ndani ya Muda mfupi tangu ajiunge kwenye Program za AKILIKUBWA aliweza kufanya Maamuzi ya kuachana na kazi yake na kuwekeza kwenye BIASHARA muda wake wote.
Dada ROSE ambaye alikua karibia kukata TAMAA kwenye Biashara lakini tangu alipojiunga kwenye Program za AKILIKUBWA matumaini mapya yalirudi
Dada KOSEKA ambaye alikua ameishajaribu biashara kadhaa za kuagiza CHINA na kuishia kutaka kufirisika lakini kupitia program za AKILIKUBWA aliweza kurudi tena imara kwenye biashara.
dada JOSELINA ambaye hakua anajua biashara ya kufanya, kupitia Program za AKILIKUBWA aliweza kuanza biashara ONLINE PEKEE ndani ya Mwaka mmoja aliweza kufungua Duka SINZA DAR ES SALAAM.
Inawezekana Hata Wewe kuwa Miongoni Mwa Wengi wenye story Nzuri kupitia Program za AKILIKUBWA, bonyeza FOMU YA MAOMBI hapo chini kufahamu VIGEZO na KUJISAJILI
2025 @ akilikubwa