Mentor Akilikubwa Free E-Books
TOLEO LA NNE
Ndani ya Toleo hili nimeelekeza kuhusu Jinsi ya kutengeneza Database ya Wateja
TOLEO LA TATU
Ndani ya Toleo hili nimeelekeza kuhusu Jinsi ya kupima matokeo ya Tangazo ulilolifanya.
TOLEO LA PILI
Ndani ya Toleo hili nimeelekeza kuhusu POST muhimu za kupost kwenye INSTAGRAM yako zitakazokusaidia kufanya mauzo haraka.
TOLEO LA KWANZA
Ndani ya Toleo hili nimeelezea mchakato wa kufanya ili mteja aipende BRAND yako.