Job Readiness (kuajiriwa kwenye Taasisi, kampuni Au Mashirika)
self Employed (Kujiajiri kwa kuwa na Digital marketing Agency au Social Media Marketer)
Nimekua katika Industry hii ya Digital Marketing kwa Muda wa Miaka SITA sasa, nimefanikiwa Kufanya Mambo mengi makubwa, NAAMINI huu ni Muda sahihi wa KUSTAAFU ili nifocus kwenye Project Nyingine za Kampuni.
Swali ni JE, Namuachia nani hiki KIJITI? kiukweli naamini Hakuna mtu mmoja anayeweza kufikia UWEZO wangu nilionao katika Industry hii, LAKINI wakiwepo zaidi ya Mmoja inawezekana mkaufikia na kuuzidi, lakini pia Mkafanikisha ile NDOTO kubwa niliyokua nayo juu ya VIJANA hasa katika KUJIAJIRI
Ndoto yangu Ziku Zote ilikua kuwa Sehemu ya MAFANIKIO ya VIJANA wengi katika kuwategenezea AJIRA, nimejitahidi kufanya hivyo kwa vijana kadhaa na leo inaweza kuwa nafasi yako, ndio maana nimeanzisha PROGRAM HII YA MAFUNZO KWA VIJANA ILI WAJIAJIRI
Social Media Ads management, (kuset na musimamia matangazo kwenye meta platforms)
Social Media Account Management, (Kusimamia na kuendesha account za mitandao ya kijamii)
Social Media Marketing Training (Jinsi ya kufundisha watu kutafuta masoko kupitia social media)
Landing Page Creation (Jinsi ya kutengeneza landing page)
Website Creation without Coding (Kutengeneza Website Bila Kucode)
Google ABC (Google profile, Google Address, Google Store/shop)
Meta Platforms Ads & Management ( Facebook, Instagram, WhatsApp) Tsh 1,500,000
Google ABC Tsh 500,000
Landing Page Creation Tsh 600,000
Website Creation Without Coding Tsh 800,000
TOTAL 3,400,000/= Per One person, BUT on this Special Program You will Pay 340,000/= (LAKI TATU NA ELFU 40 PEKEE)
MODE OF TRAINING:
20 Practical & Theory Session.
3 Months of MENTORSHIP from Mr akilikubwa
ALL SESSION ARE ONLINE via GOOGLE MEET
40 DAYS training (twice a week)
Note: ALL STUDENTS WILL GET A CERTIFICATE FROM AKILIKUBWA COMPANY LIMITED
This is Doroles,
She Choose a Self Employed Path, Now she is in Mentorship
This is Dr Shazy,
He Choose a Self Employed Path, Now He is in Mentorship
This is HOSEA,
He Choose a Self Employed Path, Now he is in Mentorship
This is GOODHOPE,
She Choose a Self Employed Path, Now she is in Mentorship
2025 @ akilikubwa